Orodha ya huduma zinazotolewa
- VYAKULA
- Pilau
- Wali
- Ugali
- Samaki
- Nyama
- Vitafunwa
- VINYWAJI
- Supu
- Soda
- Maji
- Juisi
- Chai (Rangi/Maziwa)
BEI ZETU
Bei zetu ni nafuu na rafiki zaidi kwa wateja wetu wenye hali zote, kama ifuatavyo:!
- VYAKULA
- Pilau Nyama / Pilau Samaki - Tsh. 3,500/=
- Wali Nyama / Wali Samaki - Tsh. 3,000/=
- Ugali Nyama / Ugali Samaki - Tsh. 1,500/=
- Vitafunwa: Maandazi - Tsh. 200/=
- VINYWAJI
- Supu - Tsh. 3,000/=
- Soda - Tsh. 600/=
- Maji - Tsh. 500/=
- Chai ya Rangi - Tsh. 200/=
- Chai ya Maziwa - Tsh. 300/=